Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kuna kampuni fulani inatoa tena hadi kwa mkopo. Ngoja niikimbuke nikupe contacts zaoMimi ni mkulima pia mambo yamekua magumu upande wa umwagiliaji hasa bustani na zinataka maji kwa kiasi kikubwa !!
Ila hapa kama kuna mtu pia anaweza kutufungua akili atueleze hivi hakuna water pump zinazotumia nguvu ya jua ?
Nimejaribu kutumia zile money maker pump kukanyaga kwa miguu ila mashamba ni makubwa asee ! Na mtu anachoka sana!