Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

Kuna kampuni fulani inatoa tena hadi kwa mkopo. Ngoja niikimbuke nikupe contacts zao
 
Daah pole sana aisee [emoji80] unanikumbusha kitu kwenye biashara yangu
 
Habari mkuu, hizo pump za money maker zinapatikana vipi na gharama yake ipoje mkuu?
 
Habari mkuu, hizo pump za money maker zinapatikana vipi na gharama yake ipoje mkuu?
Niliagiza Dar kipindi kabla lile soko la shimoni kuungua, kwa sasa sina direction mkuu!! Ila hakuna kinachoshindikana kwa Dar!
 
N

Niliagiza Dar kipindi kabla lile soko la shimoni kuungua , kwa sasa sina direction mkuu !! Ila hakuna kinachoshindikana kwa Dar !
Asante boss, pump uliyonunua ilikuwa na uwezo wa kumwagilia ukubwa gani, kwa muda gani na ulinunua bei gani kwa wakati huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…