Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

Kwenye mbolea imekuwaje?
 
Umewasahau Steve Nyerere na mama Kimbo wa saloon ya Buza.
 
Mbolea,mafuta vyote waruhusu wafanyabiashara wafate huko,,,serikali iwe na kazi yakukagua na kukusanya kodi yake tu! Maana kwa yanayoendelea huu uchumi utayumba sana hapo mbele! Mafuta juu= bidhaa zote zinapanda bei,wananchi watapunguza matumizi serikali inakosa mapato maana yake uchumi wa nchi unashuka, tutakopa weee mwisho tunakosa kulipa deni nchi inauzwa,,tunakua watumwa mwishoni tunakuja kumtafuta mchawi ! Hili swala wachumi inabidi wakae waishauri serikali kabla mambo hayajaharibika!!!
 
Na je hao binafsi siku wakiamua kuungana pandisha bei kama vifurushi vya simu mtawatoaje?
 
Wewe unadhani kwa Nini JPM alikomaa na reli????NA BADOOOOOOO,MTAJUTRAAAAAAendeleeni kushabikia.
 
Duuhh.. kumbe ni watu 6 tuu kati ya watu ml 60 ndo wameshikilia tenda ya mafuta!!!..

Mbona tumerudi pabaya sana
 
Si wamerudisha mfumo wa bulk procurement kama unaofanywa kwenye mafuta Ili kupata uhakika wa Mbolea na bei yenye uafadhari badala ya kuwaachia wafanyabiashara wakikuta haiwalipi hawaleti.
Kwahiyo mbolea imeshuka au imepanda ?
 
High demand vs supply baada uchumi wa Dunia kufunguk na wazalishaji wakubwa ni Russia na Ukraine wanaopigana..

Zinazokuja zitauzwa kwa ruzuku
Mbolea imepanda 2021 na vita vya Urusi na Ukraine vimeanza february 2022 inahusiana vipi na kupanda kwa bei ya mbolea 2021?

Sasa mbolea itashushwa bei na kitu gani wakati bado wazalishaji wakubwa wanapigana vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…