Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

Sasa unajuaje kuwa itashuka wakati hujui supply itakuwaje na demand itakuwaje ?
Na wewe acha kuuliza maswali ya kipumbavu na kipunguani..

Subiria Bei itatangazwa tarehe 8/8 .

Kwa hiyo serikali inayowaambia watu Bei itashuka hawaelewi ila wewe ndezi ndio unaelewa au? Ushaambiwa ruzuku itawakwa unakomaa na upuuzi ukute hata shamba huna.
 
Mbolea imepanda 2021 na vita vya Urusi na Ukraine vimeanza february 2022 inahusiana vipi na kupanda kwa bei ya mbolea 2021?

Sasa mbolea itashushwa bei na kitu gani wakati bado wazalishaji wakubwa wanapigana vita?
Kwa hiyo unatakaje?
 
Na wewe acha kuuliza maswali ya kipumbavu na kipunguani..

Subiria Bei itatangazwa tarehe 8/8 .

Kwa hiyo serikali inayowaambia watu Bei itashuka hawaelewi ila wewe ndezi ndio unaelewa au? Ushaambiwa ruzuku itawakwa unakomaa na upuuzi ukute hata shamba huna.
Sasa mbona umejaa ukwaju mdomoni ?

Au hauna majibu ya nilichouliza ?
 
Back
Top Bottom