Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Na kikokotoo hakiwahusu yaani..!! Wanatutungia sisi tu.Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao...
Hatuna Wabunge tuna genge la Wana CCM lililokua limeandaliwa kumuongezea muda yule nanihiiMbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi.
Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
Jamhuro ya Walalamikaji, mtalalamika sana gharama hata zikifika juu ya mlima Kilimanjaro hamna cha kufanyaMbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao...
Tuamke ni akati sasa kupigania haki sawa ya matumizi sahihi ya kodi zetuMbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yak ?
mfano mojawapo kama lipi ya muhimu baelezee baeleweMm lawama nazitupa kwa wananchi wenyewe. Upoyoyo na ukondoo wa wananchi ndiyo umetufikisha hapa. Watawala hawawaogopi wananchi.
Wananchi wanamjadili zaidi mambo ya kijinga kuliko Mambo ya msingi. Wako tayari kuandamana kudai;:
1. Wimbo "Nyege nyege" wa Diamond usifungiwe na basata
2. Manara asifungiwe na TFF kujihusisha na mpira.
3. Pambano la Mandonga na mpinzani wake liirudiwe.
Lkn mambo ya msingi wanayapa kisogo
Wananchi wa nchi hii ni marehemu wanaotembea.
Walipaswa kuongelea kuondopewa kws Tozo, kwasabbb tunalipa kodi. Tozo ya nn?mfano mojawapo kama lipi ya muhimu baelezee baelewe
sina khabari MCHAKATO WA KATIBA MPYA umezinduliwa lini na watu gani waliozindua hao?Walipaswa kuongelea kuondopewa kws Tozo, kwasabbb tunalipa kodi...
Uliozinduliwa ni MJADALA kama nilivyoandika. Siyo mchakatosina khabari MCHAKATO WA KATIBA MPYA umezinduliwa lini na watu gani waliozindua hao?
Nani kazindua na lini huo uzinduzi ulifanyika na je uzinduzi ulihusu KATIBA HII TUNAYOPAMBANIA #katibampyanisasa HUKU TUNAPEWA VIKWAZO au ni katiba mpya ya kukandamiza zaidi tukose pumzi kabisa afu tukufe?Uliozinduliwa ni MJADALA kama nilivyoandika. Siyo mchakato
Amezindua waziri wa katiba na sheria Dr. Ndumbaro. Kama nakumbuka vema kazindulia kwenye chuo kikuu cha Mwalimu NyerereN
Nani kazindua na lini huo uzinduzi ulifanyika na je uzinduzi ulihusu KATIBA HII TUNAYOPAMBANIA #katibampyanisasa HUKU TUNAPEWA VIKWAZO au ni katiba mpya ya kukandamiza zaidi tukose pumzi kabisa afu tukufe?