Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

Amezindua waziri wa katiba na sheria Dr. Ndumbaro. Kama nakumbuka vema kazindulia kwenye chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere
hii ni zile mbwembwe za ccm kama tunavozijua zinataka hazitaki mpaka ccm kuingia kwenye mchakato ni baada ya kuona hakuna pa kutokea hivyoooo!! KATIBA MPYA YA WANANCHI NI LAZIMA
1660030508016.png
 
Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi.

Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Tuanzie ilipoishia Rasimu ya Judge Warioba kabla haijawah KATIBA PENDEKEZWA.

Mzee wetu arudishwe na amalizie KAZI aloianza.

Mnyika anaongea lugha hii njema.

Ameeeen
 
Kama unatarajia jipya kwa wabunge hawa walioko kule 'mjengoni' pole sana ndugu!
Pigana kivyako na kumuweka Mola mbele lakini sio wale kabisa!
 
Back
Top Bottom