MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,500 Aug 9, 2022 #21 Sexless said: Amezindua waziri wa katiba na sheria Dr. Ndumbaro. Kama nakumbuka vema kazindulia kwenye chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere Click to expand... hii ni zile mbwembwe za ccm kama tunavozijua zinataka hazitaki mpaka ccm kuingia kwenye mchakato ni baada ya kuona hakuna pa kutokea hivyoooo!! KATIBA MPYA YA WANANCHI NI LAZIMA
Sexless said: Amezindua waziri wa katiba na sheria Dr. Ndumbaro. Kama nakumbuka vema kazindulia kwenye chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere Click to expand... hii ni zile mbwembwe za ccm kama tunavozijua zinataka hazitaki mpaka ccm kuingia kwenye mchakato ni baada ya kuona hakuna pa kutokea hivyoooo!! KATIBA MPYA YA WANANCHI NI LAZIMA
Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 10,174 Reaction score 89,364 Aug 12, 2022 Thread starter #22
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 12, 2022 #23 elmis said: Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha? Click to expand... RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo. Tuanzie ilipoishia Rasimu ya Judge Warioba kabla haijawah KATIBA PENDEKEZWA. Mzee wetu arudishwe na amalizie KAZI aloianza. Mnyika anaongea lugha hii njema. Ameeeen
elmis said: Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha? Click to expand... RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo. Tuanzie ilipoishia Rasimu ya Judge Warioba kabla haijawah KATIBA PENDEKEZWA. Mzee wetu arudishwe na amalizie KAZI aloianza. Mnyika anaongea lugha hii njema. Ameeeen
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Aug 12, 2022 #24 Kama unatarajia jipya kwa wabunge hawa walioko kule 'mjengoni' pole sana ndugu! Pigana kivyako na kumuweka Mola mbele lakini sio wale kabisa!
Kama unatarajia jipya kwa wabunge hawa walioko kule 'mjengoni' pole sana ndugu! Pigana kivyako na kumuweka Mola mbele lakini sio wale kabisa!