Mwigulu NchembaNijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki,lita ya petrol 2500,mafuta ya kula 6000 lita,makato ya simu kuongezeka,KUNA NINI NYUMA YA PAZIA,mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha njema mmepewa mmeshindwa kushughulikia matatizo yaha ya msingi.CCM ndio chama tawala bungeni mpo 100%. mmefunga midomo mnatuletea comedy za gwajima ,mnaacha mambo ya msingi yanayogusa maisha ya wananchi,,Mnalipwa fedha nyingi bungeni ,badala yake mnazidi kuwapandishia wananchi gharama za maisha
Wakikujibu hao magaidi unitagNijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki,lita ya petrol 2500,mafuta ya kula 6000 lita,makato ya simu kuongezeka,KUNA NINI NYUMA YA PAZIA,mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha njema mmepewa mmeshindwa kushughulikia matatizo yaha ya msingi.CCM ndio chama tawala bungeni mpo 100%. mmefunga midomo mnatuletea comedy za gwajima ,mnaacha mambo ya msingi yanayogusa maisha ya wananchi,,Mnalipwa fedha nyingi bungeni ,badala yake mnazidi kuwapandishia wananchi gharama za maisha
Ndio maana hawana muda wa kusikiliza kinachosemwa na wananchiUkicheka na nyani kinachobakia ni kuvuna mabua....... Hawa wameshajua hawana baraka za wananchi ndio maana wanakiburi.
Sema wanaotuangusha ni hawa wanaopenda itwa wanyonge. Kwanza hawalipi kodi maana wapo nje ya mzunguko wa pesa kwa asilimia kubwa sana. So balaa tunalibeba sisi ili wao wajengewe hospital na shule zitazotegemea wahisani kuendeshwa.
Hapa hatutaweza toka kirahisi tukiendelea na hizi ngonjera za lawama.
Tunasubiri anguko lake, lile la bashite lilikuwa chombeza tuu! Maana kwasasa kajiachiaa kama vile Mungu anatokea kwa kijiji chao.Mwigulu Nchemba
Unaitwa huku..
Hizi ni ngonjera. Tanzania hatukuwa na Covid 19. Hii awamu ya 6 imelazimisha Covid 19 ionekane ipo, lakini sisi huku vijijini tunajua hizo ni propaganda za mabeberuInasemekana ni madhara ya covid 19. Maana nchi nyingi zilifungia ndani watu wake. Na ukiangalia bidhaa nyingi Tanzania [emoji1241] tunategemea kutoka nje. Ko demand ni kubwa kuliko Suply.
fafanua hao wanyonge wanakuangushaje.Ukicheka na nyani kinachobakia ni kuvuna mabua....... Hawa wameshajua hawana baraka za wananchi ndio maana wanakiburi.
Sema wanaotuangusha ni hawa wanaopenda itwa wanyonge. Kwanza hawalipi kodi maana wapo nje ya mzunguko wa pesa kwa asilimia kubwa sana. So balaa tunalibeba sisi ili
Demand haiwezi kuwa kubwa pasipo purchasing power.Inasemekana ni madhara ya covid 19. Maana nchi nyingi zilifungia ndani watu wake. Na ukiangalia bidhaa nyingi Tanzania [emoji1241] tunategemea kutoka nje. Ko demand ni kubwa kuliko Suply.
"Wapinzani wametuchelewesha sana", "Mniletee Gwajimaaaaaaaaaaaa...." - Marehemu. The sad thing ni kwamba kwa mfumo uliopo hatuwezi kuiondoa CCM kwa kura zetu. Kaijage na Mahera wataendelea kuwatangaza washindi regardless ya kura.
Kuna kundi kubwa ambalo halilipi kodi japo linapata kipato cha kulipa kodi, wenyewe wanajiita wamachinga au wanyongeUkicheka na nyani kinachobakia ni kuvuna mabua....... Hawa wameshajua hawana baraka za wananchi ndio maana wanakiburi.
Sema wanaotuangusha ni hawa wanaopenda itwa wanyonge. Kwanza hawalipi kodi maana wapo nje ya mzunguko wa pesa kwa asilimia kubwa sana. So balaa tunalibeba sisi ili wao wajengewe hospital na shule zitazotegemea wahisani kuendeshwa.
Hapa hatutaweza toka kirahisi tukiendelea na hizi ngonjera za lawama.
Kuna hao halafu kuna wale wa vijijini wanaovaa mashatii na kofia za CCM . Wale wanaompokea mama Samia akisimama katika misafara yake.Kuna kundi kubwa ambalo halilipi kodi japo linapata kipato cha kulipa kodi, wenyewe wanajiita wamachinga au wanyonge
Huwezi muona huku, anakula,kunywa na kusaza bureMwigulu Nchemba
Unaitwa huku..