Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Mwigulu can make wonders, to use your mental strength to its full advantage, you need to focus on developing it just as you would any other high-value skill.Ukicheka na nyani kinachobakia ni kuvuna mabua....... Hawa wameshajua hawana baraka za wananchi ndio maana wanakiburi.
Sema wanaotuangusha ni hawa wanaopenda itwa wanyonge. Kwanza hawalipi kodi maana wapo nje ya mzunguko wa pesa kwa asilimia kubwa sana. So balaa tunalibeba sisi ili wao wajengewe hospital na shule zitazotegemea wahisani kuendeshwa.
Hapa hatutaweza toka kirahisi tukiendelea na hizi ngonjera za lawama.
Honing your sense of purpose and cultivating your ability to make good things happen are part of that process.