Kupanda kwa gharama za simu Vodacom

Turbulence

Senior Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
153
Reaction score
30
Wana JF, kwa wale watumiaji wa Vodacom, inawezekana mtakuwa mmeona Vodacom walivyopandisha gharama za makato. Kama kuna mtu yeyote mwingine ame-experience hilo ebu achangie. Kwani makato yameongezeka kwa kiasi kikubwa sana. Mwanzo nilifikiri ni mimi peke yangu, lakini nimesikia watu wengine pia wakilalamika. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa na airtime nyingi kwenye simu, huikata kwa kasi ya ajabu. Je, tatizo ni nini, kodi au wameongeza charges? Tulijadili hili.
 
leo sija fanya monitoring kwa karibu sana sana natumia ile weekly bundle ya 4200 sekunde 8400 bado haijaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…