Turbulence
Senior Member
- Apr 24, 2012
- 153
- 30
Wana JF, kwa wale watumiaji wa Vodacom, inawezekana mtakuwa mmeona Vodacom walivyopandisha gharama za makato. Kama kuna mtu yeyote mwingine ame-experience hilo ebu achangie. Kwani makato yameongezeka kwa kiasi kikubwa sana. Mwanzo nilifikiri ni mimi peke yangu, lakini nimesikia watu wengine pia wakilalamika. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa na airtime nyingi kwenye simu, huikata kwa kasi ya ajabu. Je, tatizo ni nini, kodi au wameongeza charges? Tulijadili hili.