Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi.
Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere!
Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na petroli:
Wenye mabasi, malori walia
Unajiuliza, "haya yakiendelea ubambikizi wa kesi wa polisi barabarani nao bado uko pale pale?"
Nchi nyingine mbona zinajali na kutambua kupanda kwa bei ya mafuta na zinahimiza watu wao kufanyia kazi manyumbani na hata kuweka ruzuku zaidi kupunguza makali?
"Mama na awaendekeze akina Madelu. Tutakutana kwenye sanduku la kura."
Hii ni hata kama yeye binafsi anajulikana kwa kauli tata kuwa ushindi ni hata kama hakupigiwa kura.