Nakumbuka shilingi ya tanzania ilishuka nakufikia thamani ya 1800 kwa dola moja ya Us na sasa imepanda na imefikia 1584 leo. hii inaashiria nini? kipindi ikishuka thamani kila siku zilikuwa zinakuja threads mpya kuripoti hilo lakini mbona sasa wale maripota wetu hatuwaoni? tunawashauri pia wendelee kuripori kama walivyokuwa wakifanya hapo awali.
Na mwishi kabisa ambali ndo lengo la thread hii, ni kuwa inaashiria nini? wataalamu wa uchumi hebu tusaidieni sisi wauza machungwa huku mtaani.
Thanks, ila nasubiri hiyo tarehe 15 january uliyosema. ila kitu kingine ambacho ungenisaidia, mbona watu hawarepoti kama kipindi sh ikishuka? au sisi tunaombeana mabaya tu? mbona naona kama jambo la aibu kwetu waTZ? au mnaonaje?Mkuu Hiki ni kipindi cha mapunziko, biashara nyingi zinafunga hadi January, so no much use of foreign currency this month. kwa sababu hiyo lazima foreign currecies zitapungua thamani kwa sasa lakini haimaanishi Tsh imepanda thamani. Kuthibitisha hilo angalia bei ya vitu soko la ndani je na vyenyewe vimeshuka bei au la? hapo ndo utajua kama shilingi bado inaporomoka au inainuka.
Kitu kingine subiri ikifika januari 15 na kuendelea wakati biashara nyingi zinafunguliwa tena, utaona kama Dola itabaki hapo pa 15xx au la.
conclusion: Shilingi haijapanda thamani hata kidogo, with comparison na Local market, Dola haijashuka thamani ila kwa mwezi huu wa mapumziko watumiaji wa Dola hawapo.
Kama una Tsh zisizokuwa na kazi huu ni wakati wako mazuri wa kuwekeza kwenye Dola, Mwezi wa pili mwakani utakuwa na faida sana ukiziuza.
Nakumbuka shilingi ya tanzania ilishuka nakufikia thamani ya 1800 kwa dola moja ya Us na sasa imepanda na imefikia 1584 leo. hii inaashiria nini? kipindi ikishuka thamani kila siku zilikuwa zinakuja threads mpya kuripoti hilo lakini mbona sasa wale maripota wetu hatuwaoni? tunawashauri pia wendelee kuripori kama walivyokuwa wakifanya hapo awali.
Na mwishi kabisa ambalo ndo lengo la thread hii, ni kuwa inaashiria nini? wataalamu wa uchumi hebu tusaidieni sisi wauza machungwa huku mtaani.
Noted with thanx.Kinachotokea ni kwamba Serikali kupitia BoT ime-release fresh dollars sokoni, kawaida BoT huwauzia bank na bank huwauzia individuals na makampuni, lakini kinachofanyika sasa BoT in awauzia individuals like Bureau de change kwa rate ya chini mno, mwisho wa siku bank nao wanalazimika kushusha rate (function of supply nad demand). Lakini hiki kinachofanyika si measurement nzuri ya ku-control exchange rate kwani mara nyingi haidumu, kwani BoT ina maximum foreign reserve haiwezi kuuza USD kila siku, at the same time kati ya wale wanouziwa kwa bei rahishi kuna wengine wanazifadhi wakisubiri BoT itakopoacha kurelease more USD wao wauze kwa bei ya juu. Serikali inatakiwa imaimarishe uuzaji nje bidhaa , yaani tuwe na more export than import, hii ni njia nzuri ya ku-control exchange rate.
mkuu lakini umeangalia thamani ya dola juu ya currency nyingine kwa miezi miwili iliyopita kama vile Euro na Pound? Better ungekuwa na data. internet siunayo hebu bofya ndo utoe data zako hizo.Si kweli kuwa shilingi inapanda. Ukweli ni kwamba Dolla inashuka thamani
Kinachotokea ni kwamba Serikali kupitia BoT ime-release fresh dollars sokoni, kawaida BoT huwauzia bank na bank huwauzia individuals na makampuni, lakini kinachofanyika sasa BoT in awauzia individuals like Bureau de change kwa rate ya chini mno, mwisho wa siku bank nao wanalazimika kushusha rate (function of supply nad demand). Lakini hiki kinachofanyika si measurement nzuri ya ku-control exchange rate kwani mara nyingi haidumu, kwani BoT ina maximum foreign reserve haiwezi kuuza USD kila siku, at the same time kati ya wale wanouziwa kwa bei rahishi kuna wengine wanazifadhi wakisubiri BoT itakopoacha kurelease more USD wao wauze kwa bei ya juu. Serikali inatakiwa imaimarishe uuzaji nje bidhaa , yaani tuwe na more export than import, hii ni njia nzuri ya ku-control exchange rate.
Mkuu Hiki ni kipindi cha mapunziko, biashara nyingi zinafunga hadi January, so no much use of foreign currency this month. kwa sababu hiyo lazima foreign currecies zitapungua thamani kwa sasa lakini haimaanishi Tsh imepanda thamani. Kuthibitisha hilo angalia bei ya vitu soko la ndani je na vyenyewe vimeshuka bei au la? hapo ndo utajua kama shilingi bado inaporomoka au inainuka.
Kitu kingine subiri ikifika januari 15 na kuendelea wakati biashara nyingi zinafunguliwa tena, utaona kama Dola itabaki hapo pa 15xx au la.
conclusion: Shilingi haijapanda thamani hata kidogo, with comparison na Local market, Dola haijashuka thamani ila kwa mwezi huu wa mapumziko watumiaji wa Dola hawapo.
Kama una Tsh zisizokuwa na kazi huu ni wakati wako mazuri wa kuwekeza kwenye Dola, Mwezi wa pili mwakani utakuwa na faida sana ukiziuza.
Ni kweli kiongozi. Mgonjwa akipata nafuu ata omba na uji mwingi siku hiyo lakini baadaye kibao kinageuka!Wanasema ukiona mgonjwa mahututi kapata nafuu kaa chonjo...! tafakari
wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.Ebi bishuba omu kipindi eki ila Endeleea yagamba amazima umu kipindi eki!