Unasema mimi ni form four,wewe una ngazi gani ya elimu? Selikali ilikosea sana kuufanya ualimu kama kazi rahisi,ona sasa upuuzi wa walimu wa Mulugo!! Kama nchi tunaelekea pabaya sana!!
naona la kukupendelea kukuvusha limekuuma sana. Haya twambie ulvoishia la saba. Biashara inajua kuwabeba, had mnawadharau watu na kaz zao. We fanya kujenga taifa, ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Usijifanye una uchungu kuliko wafiwa. Mara uwatetee mara uwadharau! Which z which? An educated man should have a common stand! Kama umesoma bas hujaelmika. Na kama ningebahatka kua mwl. wako ningekurudsha la saba.