Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

Aisee
 
Wamesema hawatoi..wanaweka vimirija laini vidogo vitakavyopekea damu kwa speed kwenye uume hivyo dushe husimama muda wote...pale mtakapoona moto unatosha unalikunja
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hatimae makoroboi yaanza kutengezwa tanzania tujiandae na mapapai yetu
 
Eleza vizuri kupandikiza kivipi, kurekebisha uliopo, au kutoa kuweka mwingine, au hata kwa mwanamke wanapandikiza anakuwa mwanauume.
 
Bongo tunashindana mikuyenge mikubwa mikubwa.
 
Wana wake muwe makin msije kuvunja hiz million10
 
Wamesema hawatoi..wanaweka vimirija laini vidogo vitakavyopekea damu kwa speed kwenye uume hivyo dushe husimama muda wote...pale mtakapoona moto unatosha unalikunja
Umeme ahusiki
 
Eleza vizuri kupandikiza kivipi, kurekebisha uliopo, au kutoa kuweka mwingine, au hata kwa mwanamke wanapandikiza anakuwa mwanauume.
Unawekwa wa mtu mwingine ambaye amejitolea au alifariki bila mtu kujitokeza viungo vinatolewa ipo sana nje
 
Wangefanya such surgeries kwenye mbongo za viongozi wetu ziweze kufanya kazi vizuri na kuwawezesha kufikiri productively ili kuharakisha maendeleo na kusaidia kuiepusha nchi na mikataba aina ya DP World
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…