Mungu amfanyie wepesi kwakweli naimagine sipati picha!!
Soma Regulation 50-59 ya THE PUBLIC SERVICE REGULATIONS OF 2022,pamoja na section 33 The Public Service Act [CAP. 298 R.E 2019]Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
-Regulation 38(6) na 39 THE PUBLIC SERVICE REGULATIONS OF 2022.Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?