Jamani kitu bei haibaki palepale
Wewe uko wapi Dar ? ? na viwanja vipi vyenye hati ? ? au maeneo ambayo hayajapimwa ? ? pia wilaya ipi ?
Tanzania ni moja ya nchi ambazo kodi ya viwanja ipo chini. Ikimbukwe kisheria vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu ishirini vilitakiwa kuwa vimeshajengwa ila si wananchi wala serikali wameweza kwa kiwango kikubwa. Vinapaswa kuanza kulipia kodi ya majengo sasa. Afrika kusini ukipewa kiwanja kadri unavyochelewa kujenga ndivyo na kodi inaongezeka hivyo watu hawapendi kuhodhi viwanja kama huku kwetu.
Mie nimelipa elfu 51 sqm 990 kisota wiki mbili zilizopita.
Mimi ni mdaiwa suguWakuu. je kuna anayefahamu kiasi cha kodi mpya za viwanja vya nyumba? najua hizi ziliwekwa humu ila sikuweza kuzihifadhi na kuzikumbuka. natanguliza shukrani.
Wakuu. je kuna anayefahamu kiasi cha kodi mpya za viwanja vya nyumba? najua hizi ziliwekwa humu ila sikuweza kuzihifadhi na kuzikumbuka. natanguliza shukrani.
Mimi ni mdaiwa sugu
Mkuu asante kwa taarifaAngali usijekuta kiwanja chako kimeuzwa kwa ujumla pesa ulokuwa unalipa kabla ya Julai 2012 zidisha mara tatu basi.
kila sehemu kuna kodi zake tofauti elezea upo mkoa gani au manispaa gani
Mimi changu kipo kibada katika eneo la mradi nalipia 23,235/= kina ujazo wa 1548 sq. meters.Je, unaweza kutusaidia kujua kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ni shilingi ngapi kwa sehemu yoyote ile Dar?