Kupandishwa kwa gharama za kodi za viwanja

Nara

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Posts
1,067
Reaction score
297
Jamani hivi inawezekana kweli kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ikapande kutoka 90500 mpaka 340,000 tshs? Hivi kwanza kodi za viwanja zimepanda lini? Tafadhali mwenye kujua hili naomba anisaidie.
 
Wewe uko wapi Dar ? ? na viwanja vipi vyenye hati ? ? au maeneo ambayo hayajapimwa ? ? pia wilaya ipi ?
 
Swali langu meant anywhere in Dar, kwa viwanja vilivyo pimwa, but kama unafahamu mabadiliko yoyote it will be useful to share.
 
Tanzania ni moja ya nchi ambazo kodi ya viwanja ipo chini. Ikimbukwe kisheria vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu ishirini vilitakiwa kuwa vimeshajengwa ila si wananchi wala serikali wameweza kwa kiwango kikubwa. Vinapaswa kuanza kulipia kodi ya majengo sasa. Afrika kusini ukipewa kiwanja kadri unavyochelewa kujenga ndivyo na kodi inaongezeka hivyo watu hawapendi kuhodhi viwanja kama huku kwetu.
 
Wewe uko wapi Dar ? ? na viwanja vipi vyenye hati ? ? au maeneo ambayo hayajapimwa ? ? pia wilaya ipi ?

Je, unaweza kutusaidia kujua kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ni shilingi ngapi kwa sehemu yoyote ile Dar?
 
Tanzania ni moja ya nchi ambazo kodi ya viwanja ipo chini. Ikimbukwe kisheria vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu ishirini vilitakiwa kuwa vimeshajengwa ila si wananchi wala serikali wameweza kwa kiwango kikubwa. Vinapaswa kuanza kulipia kodi ya majengo sasa. Afrika kusini ukipewa kiwanja kadri unavyochelewa kujenga ndivyo na kodi inaongezeka hivyo watu hawapendi kuhodhi viwanja kama huku kwetu.

Je, unaweza kutusaidia kujua kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ni shilingi ngapi kwa sehemu yoyote ile Dar?
 
Mie nimelipa elfu 51 sqm 990 kisota wiki mbili zilizopita.
 
Wakuu. je kuna anayefahamu kiasi cha kodi mpya za viwanja vya nyumba? najua hizi ziliwekwa humu ila sikuweza kuzihifadhi na kuzikumbuka. natanguliza shukrani.
 
kila sehemu kuna kodi zake tofauti elezea upo mkoa gani au manispaa gani
 
Wakuu. je kuna anayefahamu kiasi cha kodi mpya za viwanja vya nyumba? najua hizi ziliwekwa humu ila sikuweza kuzihifadhi na kuzikumbuka. natanguliza shukrani.

Nafikiri kodi mpya ziliwekwa mwaja jana. Sina uhakika kama zimeongezwa tena mwaka huu.
 
Nachukia sana nikipewa kodi tofauti , halafu kiwanja changu kiuzwe na watu hao hao ninaowapa kodi yangu.
 
Back
Top Bottom