Kupanga meno vizuri mdomoni

Kupanga meno vizuri mdomoni

Anotherperson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
601
Reaction score
672
Kuna njia ya kutumia brace ili kupanga meno vizuri mdomon
download.jpg
, Kwa wale ambao mlishatumia hii njia mtupe uzoefu na ushauri kama kuna hasara zipi, ni mda gan ulivaa brace, ni wapi hapa Tz huduma hii inapatikana? na kwa gharama zipi? Naomba ujuz wenu wakuu.
brace.jpg
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    3.6 KB · Views: 165
Ingia website ya smilesdentalclinic ipo hapo dar then wapigie simu katika contact zao.Kwa bei nimecheck za Nairobi inaanzia ksh.15,000 na 30,000.
Ngoja nivinjari mkuu. Kumbe hii kitu gharama yake ipo juu
 
Tajeni kwa hela za kibongo bwanaa, mnaogopa nini si internatinal monetary limesema uchumi wetu upo shega tu.
 
Back
Top Bottom