Uchaguzi 2020 Kupanga ni kuchagua, maendeleo ya watu na vitu hayakuwepo tuliamua kuanza na maendeleo ya vitu

Uchaguzi 2020 Kupanga ni kuchagua, maendeleo ya watu na vitu hayakuwepo tuliamua kuanza na maendeleo ya vitu

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta maendeleo ya watu.

Juzi watanzania ndugu zetu walikwama India kwa sababu ya covid 19.

Tukatumia maendeleo ya vitu kwenda kuwachukua kwa ndege yetu we are proud of this.Kuna watu mabillionaire .mbona hawa mabillionaires hawakuchangia chochote kwenda kuwaleta nyumbani watanzania hawa waliyokuwa wamekwama?so unaona kwamba maendeleo ya vitu kwanza ni mhimu sana maana vitakuokoa wakati wa shida.

Ukikopa mkopo ukashindwa kulipa deni Huwa benki inauza ulichowekea dhamana (vitu).maendeleo ya watu na vitu hayakuwepo ndiyo maana hata kuingia uchumi wa kati ilikuwa bado.Baada maendeleo ya vitu na watu sasa tuko middle income country.

Tusongee mbele kwa ajiri ya leo,kesho na kesho kutwa.

Matusi sitaki
 
Back
Top Bottom