johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yote hiyo ni katika kutekeleza ilani ya CCM.
Kila mkoa na kila wilaya walau imebahatika kupata tukio moja kubwa la utekelezaji ilani ya CCM ambalo ni kumbukumbu nzuri.
Sisi wakazi wa ubungi kwa mbunge Mnyika na meya Jacob tumebahatika kupata miradi mingi sana ikiwemo stand ya kimataifa ya mabasi ya mikoani na Afrika mashariki.
Wewe mdau wa Jf hapo jimboni kwako mmeitekelezaje ilani ya CCM?
Maendeleo hayana vyama!