Bongo land....nimewaza tu.! Treni vs Bombardier
~hiyo ndege inabeba abiria 150+ na idadi kubwa ya wananchi ndio watakaoipokea airport...
~haijalishi wataipanda au laa...furaha ni kuiona na kuselfika kama watabahatika
~na wateja wakuu wa Mwewe ni CEO, Executive's,Experts, Diplomats... wafanyabiashara na tabaka LA kati
*TRL nao walihitaji live coverage...
~treni linabeba abiria 900+ INA vituo kadhaa njiani,inapakia na kushusha abiria na mizigo
~na wateja wakuu wa treni ni walimu,wajasiriamali,wachuuzi,maaskari,wanaccm,wana JF orodha ni ndefu wanafunzi,wapinzani nk..
Hao viongozi wakuu walipaswa kuipenda na TRL pia.
aaahhh... wine imeisha na oda yangu ya jikoni imefika...harufu tamuu; weitaaa
*Bwashe karibu
Sent using
Jamii Forums mobile app