Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa wanakudai hata 2000 tu wakisikia unapika basi utaona sms inapopu kudai hela yao, yani uhuru sina kabisa. Nasubiri kodi yangu ikalibie kuisha nihame maana kunakoelekea nitawavunjia heshima yeye na mumewe
Vipi kwenu huko? wenye nyumba wanatabia za kishaba kama hizi!