Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kujenga NI ishu ngumu hata chumba kimoja, hapo kumshauri Tu ahame akapange pazuriJenga yako mkuu, kwako utakuwa na uhuru utakao ! Cha mtu ni mavi
Hasa kama ni ke halafu mama wa nyumbaniNimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa wanakudai hata 2000 tu wakisikia unapika basi utaona sms inapopu kudai hela yao, yani uhuru sina kabisa. Nasubiri kodi yangu ikalibie kuisha nihame maana kunakoelekea nitawavunjia heshima yeye na mumewe
Vipi kwenu huko? wenye nyumba wanatabia za kishaba kama hizi!
Hakuna namna japo matatizo/kero haziepukikiKujenga NI ishu ngumu hata chumba kimoja, hapo kumshauri Tu ahame akapange pazuri
Duh nimepitia Nyumba zakupanga naelewa kaza mkuu iyo inakukumbusha hapo sio kwako tafuta another way uwe na aman arafu why always MAMA MWENYE NYUMBA na so BABA MWENYE NYUMA means wanawake wanauchungu sana na vyao....🫤Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa wanakudai hata 2000 tu wakisikia unapika basi utaona sms inapopu kudai hela yao, yani uhuru sina kabisa. Nasubiri kodi yangu ikalibie kuisha nihame maana kunakoelekea nitawavunjia heshima yeye na mumewe
Vipi kwenu huko? wenye nyumba wanatabia za kishaba kama hizi!
Mto.....mbe huyo Maza hausi.Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa wanakudai hata 2000 tu wakisikia unapika basi utaona sms inapopu kudai hela yao, yani uhuru sina kabisa. Nasubiri kodi yangu ikalibie kuisha nihame maana kunakoelekea nitawavunjia heshima yeye na mumewe
Vipi kwenu huko? wenye nyumba wanatabia za kishaba kama hizi!
Mimi Hali ni tofauti baba mwenye nyumba alikuwa ananihimiza nisijibweteke,nijiandae kujenga yangu , kweli nimehama nipo kwangu!Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa wanakudai hata 2000 tu wakisikia unapika basi utaona sms inapopu kudai hela yao, yani uhuru sina kabisa. Nasubiri kodi yangu ikalibie kuisha nihame maana kunakoelekea nitawavunjia heshima yeye na mumewe
Vipi kwenu huko? wenye nyumba wanatabia za kishaba kama hizi!
Kama hela Hana anafanyaje? Hata ya kiwanjaNy
Hakuna namna japo matatizo/kero haziepukiki
Mtomber.Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.