Inabidi fikra zetu tujiulize yafuatayo :-
- Kwanini unafanya kazi na kwanini kazi fulani na sio kazi nyingine ?
- Je kazi ni means to an end au unafanya kazi fulani sababu upo enganged kwenye hio kazi hivyo basi bila hata ujira ungeweza / ungependa kuifanya
Majibu yako hapo yanaweza kukwambia kama jamii tumekuwa na utamaduni wa kuweka a Cart before a Horse..., Hivyo usishangae mtu ni Bwana Shamba na analalamika kupangiwa kazi sehemu zenye wakulima na mashamba,
By the way huenda hata baadhi ya vijiji vya leo yana facility kuliko hata miji ya zamani; kama ni habari na connectivity ya dunia yote kinganjani hivyo kuweza kujiendeleza ni uamuzi tu.....
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out Don't Let Schooling interfere with your Education....... Ni...