Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Halmashauri za vijijini ni za KISHAMBA SANAA..Inategemea na hiyo Halmashauri uliyoko ingekuwa vyema kuitaja maana Ukiwa Makete labda upande miti na ulime ngano tofauti na hapo ni msala.
Kama ina-serve the Purpose na ku-wamotivate watu sioni tatizo lolote, ubaya ni kuwapa watu false hopes na kuwadanganya ila narudia nilichosema tangia mwanzo issue ni wewe na sio wao unataka nini (hizo ndio fikra za kukujenga wewe binafsi) ukishajua unachohijati utawekeza nguvu kuelekea huko, Kama haujui unataka nini utakuwa una-chase an illusion ambayo haina mwisho - unaishi maisha fulani ya mashindano ambayo hata unaoshindana nao hawajui kwamba una-exist.....; Kwahio sikupangii kama hutaki kuishi kijijini usifanye hivyo na kuendelea kwako kuwa hapo haujitendei haki...., ila kama wewe ni Bwana Shamba na haupendi kuishi kijijini you made a wrong career choice from the get go....., Kama wewe ni mwalimu motivation yako kubwa ni kufundisha na kuelewesha watu, hivyo kama wanaohitaji elimu wengi ni vijijini nadhani hio ni purpose tosha ya kukufanya wewe uende huko na uki-dig deep huenda ukafanya uchunguzi na kuja na njia mbadala na majibu kwanini huko wengi wa watu wanahitaji elimu.Motivesheni supika
Kuhama inawezekana ila sio rahisi kiasi hicho.Kwanza mwambie tuu , Serikali Imefuta hakuna Cha kuhama,atazeekea Mafia huko ππ
Tanganyika ni Wilaya nzuri Kwa kilimo na inafikika vizuri,Tarura imefungua mawasiliano kufika kusiko fikika ,pia umeme upo karibu Vijiji vyote Kwa Sasa.
Hasa kwa walimu ni changamoto zaidi japo wachache sana wanafanikiwa kimochongo plus helaKuhama inawezekana ila sio rahisi kiasi hicho.
#YNWA
Asante MWEREVU.Ni ujinga tuu unakusumbua,Cha maana ulichofanya hapo mjini ni kipi? Kwa kuwa unaunga unga ndio maana uliomba kazi ya chini ya 800k Kwa mwezi.
Sasa wenye akili wanataka wapangiwe Vijijini maana ni fasta unakuwa Tajiri..
Harafu mlivyo mbumbumbu mnadhani Vijiji vya Leo ni sawa na vya zamani,Kwa taarifa yenu Vijijini karibu vyote vina umeme,Barabara na issue ya Maji Ruwasa wako kazini..
Ukiniuliza Mimi Vijiji vigumu labda ni vile ambavyo Kilimo,uvuvi na ufugaji havifanyiki..vyenye Hali ya ukame
Halmashauri dume zipo nyingiiKwanini Ukerewe nayo mnaiweka kwenye halmashauri DUME?
Juinge CCM,gombea Uongozi uchaguzi wa 2027,ukishinda hasa zile nafasi za ngazi ya wilaya,mkoa au Taifa kuhama ni chapuKuhama inawezekana ila sio rahisi kiasi hicho.
#YNWA
Mzee hakuna kuhama,utakuwa vijisenti vyako Bure ,Ili uhame tafuta hela uwe na walau mil.3 ukahonge Sasa mil.3 huwezi pata kwenye salary mpaka ujiongeze Shambani..Kuhama inawezekana ila sio rahisi kiasi hicho.
#YNWA
Wamegoma tusihame, sasa tunafanya Kazi kimafiaa.Hio nzuri mana ungekaa uko kijijini ungekosa wa kumtambia Kops mkichukua europa mwakani
Niliamua kuacha kuendelea sababu niliona najirudia kama rekodi mbovu, uli umeniqoute pengine ngoja nikujibu na hapa98% ya wafanyakazi wote wa huku wanataka kuhama.
98% ya wafanyakazi wote wenyeji wa huku waliopangwa maeneo mengine hawataki kurudi huku kwa Uhamisho wa kubadilishana.
98% ya wenyeji wa huku wamekimbia maeneo mengine, huku wanarudi mwisho wa mwaka.
Hiyo ndio hali halisi.
Nyingine porojo tu na ubishi wa ajabu ajabu
[emoji1787][emoji1787] kmmmk, walio vijijini hawawezi kukuelewaHivi solar unaweza kutumia machine ya kufulia, microwave, jiko la oven n.k?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema sahihiYaani ile "Utabadirisha kada baada ya miaka mitano" Kama umejiendeleza kielimu kwa baadhi ya watumishi itabaki hadithi tu kwaoππ
Lazima umegewe na Afisa Elimu,Mwalimu Mkuu/Mkuu wa shule ,DED nk π€£π€£π€£π€£Yaani wife wamemtupa huko porini... hapa nawaza ikipita mwaka niweka dau la 5 milllion apatikane mwalimu wa kubadilishana naye... ikishindikina sijui itakuwaje
Hao jamaa wanawamega sana walimu wa kike πLazima umegewe na Afisa Elimu,Mwalimu Mkuu/Mkuu wa shule ,DED nk π€£π€£π€£π€£
Asilimia 90 ya mabwana shamba/Mifugo wanaishi Mijini Sasa mwaka ujao wa Fedha Serikali imesema inaenda kujenga nyumba 4,000 Ili wajae huko huko kwenye kata zao na kumbuka wanariooti Kwa Mtendaji Kata so hatua Kwa hatua wowote wataishi VijijiniInabidi fikra zetu tujiulize yafuatayo :-
Majibu yako hapo yanaweza kukwambia kama jamii tumekuwa na utamaduni wa kuweka a Cart before a Horse..., Hivyo usishangae mtu ni Bwana Shamba na analalamika kupangiwa kazi sehemu zenye wakulima na mashamba,
- Kwanini unafanya kazi na kwanini kazi fulani na sio kazi nyingine ?
- Je kazi ni means to an end au unafanya kazi fulani sababu upo enganged kwenye hio kazi hivyo basi bila hata ujira ungeweza / ungependa kuifanya
By the way huenda hata baadhi ya vijiji vya leo yana facility kuliko hata miji ya zamani; kama ni habari na connectivity ya dunia yote kinganjani hivyo kuweza kujiendeleza ni uamuzi tu.....
Don't Let Schooling interfere with your Education
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out Don't Let Schooling interfere with your Education....... Ni...www.jamiiforums.com
Unawaacha wapi Manesi,madaktari wa kike? ππHao jamaa wanawamega sana walimu wa kike π
In short mke wako akiwa mbali amepangiwa kijijini mabwana wake mara nyingi ni maboss zakeUnawaacha wapi Manesi,madaktari wa kike? ππ