DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Kwamba utoke shamba uje tabata/sinza au kino kujirusha..then jumatatu kazini?Waende mjini wakajirushe weekend jumatatu kazini
Hii labda wabunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba utoke shamba uje tabata/sinza au kino kujirusha..then jumatatu kazini?Waende mjini wakajirushe weekend jumatatu kazini
Kijijini kunakuzuia vipi kuvunja mifupa mbona watu kibao wanafanya kazi vijijini na wanaishi mijini maendeleo wanafanya mijini.Unawazia kustahafu, yaani niishi kwa kujitesa na tabu za vijijini eti nikisubiria uzeeni ndio niishi vizuri, vunja mifupa ingali meno ipo, kwa mijini huwa hawana akili ya kufatuta, nyie wa mijini huwa mnadharau sana... Unasema hayo na hapo upo mjini.
Kama uliishi miaka mitatu kwanini ulitoka na kuacha fursa za kijijini, nenda kakae... Pia we lofa sijakulazimisha ukubaliane na yangu, naongea ninachokijua.Kwamba unayajua zaidi maisha yangu kuliko mimi?
Acha ujuaji.
Kwa sasa sipo kijijini, ila niliishi miaka mitatu.
Unadhani umetembelea vijiji vyote, ila bado.Man nimetembea nchi hii sehem pasipo na network labda kwa sababu ya ishu ya population kampuni za simu zimeona hailipi.Hakuna kijiji Cha population zaidi ya watu 100 kikakosa mawasiliano inaweza isiwe ni 24hrs sababu usiku hakuna Sola na pia wapo bondeni lakini mchana wanapata network.
Serikali gani inayojenga minara
Utakuwa sio mtumishi wa serikali wao wanacheza na sehemu moja kama mlima hakuna kuhama.Mimi nacheza potepote mjini na vijijini
Wewe ni nani hadi unipangie pa kukaa? Ulinisaidia ada?Kama uliishi miaka mitatu kwanini ulitoka na kuacha fursa za kijijini, nenda kakae... Pia we lofa sijakulazimisha ukubaliane na yangu, naongea ninachokijua.
Kama ni mjasiliamali pesa hazikosi kazi,unajenga zizi la kukusanyia wanyama toka kwa wanakijiji mmoja mmoja mwenye shida wakifika wa kutosha unawatia kwenye fuso mjini,ukitoka mjini unalijaza bidhaa za jumla unajaza kwenye nyumba yako kijijini unaanza wasambazia viduka vidogo vidogo vya vijijini huku unanua mazao na mifugo huku unalimisha kwa mnyororo huohuo kwa mwaka mzima.Upo sahihi kaka, kwa mtu aliyetoka Mwanza mjini au Dar, umpeleke vijijini huyu baada ya miaka mitano mtamzika, vijijini unapata mshahara na pesa hujui unaitimia vipi hakuna sehemu ya kuspend, upo tu unapigwa vumbi na upepo mkali, hakuna pisi kali, hakuna kupiga pamba na mwendo wa kufukuzana na mbuzi na wanyama.....
Mimi au huyu bongo dili na wenzake kadhaa?Utakuwa upo kijiji cha makumbusho.
Mkizaliwa mjini mawazo yenu maisha hayawezikani nje ya mji
Wewe ni nani kulazimisha watu wapende kuishi vijijini ikiwa wewe mwenyewe ulipakimbia?Wewe ni nani hadi unipangie pa kukaa? Ulinisaidia ada?
Ila hapo kwenye mbususu zenye quality umeongea bonge la point mkuu 😀Mapopoma yapo humu kuwalisha wenzao ujinga wakati wao wametulia mijini wakila kiepe yai, na maini roast, bila kusahau kusahau kula mbususu zenye quality...wajinga sana hawa kamanda.
Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson😂😂😂Kama ni mjasiliamali pesa hazikosi kazi,unajenga zizi la kukusanyia wanyama toka kwa wanakijiji mmoja mmoja mwenye shida wakifika wa kutosha unawatia kwenye fuso mjini,ukitoka mjini unalijaza bidhaa za jumla unajaza kwenye nyumba yako kijijini unaanza wasambazia viduka vidogo vidogo vya vijijini huku unanua mazao na mifugo huku unalimisha kwa mnyororo huohuo kwa mwaka mzima.
Kijijini kwa asiye na asili ya ujasiliamali apamfai
Kumbuka kuna mambo ya kishikina na ukijitia mjanja ukawazid maendeleo wanakulogaKijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.
Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.
Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.
In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Sio kwa kufungua miradi sema kwa kula peza za watu pori na pia wamefunguliwa miradi na washamba wa vijijini wanaoshoboka na rangi... Nenda wewe mwanaume tuone kama utafungua hata mradi wa kuchakata kiepe yai.Vijijini huko watoto wa kichaga watumishi wametajirika sana kwa kufungua miradi mbalimbali
Yaani ile "Utabadirisha kada baada ya miaka mitano" Kama umejiendeleza kielimu kwa baadhi ya watumishi itabaki hadithi tu kwao😂😂Upo sahihi kabisaaa
Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama
1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika
Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.
Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.
#YNWA
Achana na zuzu huyo hajui maisha ya watu pori.Kumbuka kuna mambo ya kishikina na ukijitia mjanja ukawazid maendeleo wanakuloga
Likizo na weekend jeUnajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson😂😂😂