Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Unawazia kustahafu, yaani niishi kwa kujitesa na tabu za vijijini eti nikisubiria uzeeni ndio niishi vizuri, vunja mifupa ingali meno ipo, kwa mijini huwa hawana akili ya kufatuta, nyie wa mijini huwa mnadharau sana... Unasema hayo na hapo upo mjini.
Kijijini kunakuzuia vipi kuvunja mifupa mbona watu kibao wanafanya kazi vijijini na wanaishi mijini maendeleo wanafanya mijini.
Kijiji hakikufungi kutimiza ndoto yako iwe bata,iwe kusoma,iwe kuwekeza mjini.
Enzi za kupanda punda baada ya kushuka kwenye treni hazipo siku hzi bodaboda wameunganishaa nchi
 
Kwamba unayajua zaidi maisha yangu kuliko mimi?

Acha ujuaji.

Kwa sasa sipo kijijini, ila niliishi miaka mitatu.
Kama uliishi miaka mitatu kwanini ulitoka na kuacha fursa za kijijini, nenda kakae... Pia we lofa sijakulazimisha ukubaliane na yangu, naongea ninachokijua.
 
Unadhani umetembelea vijiji vyote, ila bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliishi miaka mitatu kwanini ulitoka na kuacha fursa za kijijini, nenda kakae... Pia we lofa sijakulazimisha ukubaliane na yangu, naongea ninachokijua.
Wewe ni nani hadi unipangie pa kukaa? Ulinisaidia ada?
 
Kama ni mjasiliamali pesa hazikosi kazi,unajenga zizi la kukusanyia wanyama toka kwa wanakijiji mmoja mmoja mwenye shida wakifika wa kutosha unawatia kwenye fuso mjini,ukitoka mjini unalijaza bidhaa za jumla unajaza kwenye nyumba yako kijijini unaanza wasambazia viduka vidogo vidogo vya vijijini huku unanua mazao na mifugo huku unalimisha kwa mnyororo huohuo kwa mwaka mzima.
Kijijini kwa asiye na asili ya ujasiliamali apamfai
 
Mapopoma yapo humu kuwalisha wenzao ujinga wakati wao wametulia mijini wakila kiepe yai, na maini roast, bila kusahau kusahau kula mbususu zenye quality...wajinga sana hawa kamanda.
Ila hapo kwenye mbususu zenye quality umeongea bonge la point mkuu ๐Ÿ˜€
 
Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kumbuka kuna mambo ya kishikina na ukijitia mjanja ukawazid maendeleo wanakuloga
 
Vijijini huko watoto wa kichaga watumishi wametajirika sana kwa kufungua miradi mbalimbali
Sio kwa kufungua miradi sema kwa kula peza za watu pori na pia wamefunguliwa miradi na washamba wa vijijini wanaoshoboka na rangi... Nenda wewe mwanaume tuone kama utafungua hata mradi wa kuchakata kiepe yai.
 
Yaani ile "Utabadirisha kada baada ya miaka mitano" Kama umejiendeleza kielimu kwa baadhi ya watumishi itabaki hadithi tu kwao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Likizo na weekend je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ