bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Jinsia ya kiume wanakula pesa ya naniSio kwa kufungua miradi sema kwa kula peza za watu pori na pia wamefunguliwa miradi na washamba wa vijijini wanaoshoboka na rangi... Nenda wewe mwanaume tuone kama utafungua hata mradi wa kuchakata kiepe yai.
Kuna walimu wanafigisu unaweza kuwa unapangwa jumamosi kuleta lesson plan😂😂😂, ukiwa mbishi unaweza kurogwa kabisa.Likizo na weekend je
Kwann ukubali kurogwa kizembe na weweKuna walimu wanafigisu unaweza kuwa unapangwa jumamosi kuleta lesson plan😂😂😂, ukiwa mbishi unaweza kurogwa kabisa.
1.kitaaluma ni rahisi kujiendeleza ukiwa mjiniLabda tubadilishe hii heading kidogo tuulize
NI FURSA ZIPI MTUMISHI ANAWEZA KUPATA AKIWA MJINI?
😁😁😁Sijamaanisha vimji vidogo!Kumbe wati wanaposema kijijini we unachukulia vimji vidogo eeh, kuna vijiji shekhe.
Mkuu kwa sisi tuliokuwa mjini haya mambo tumekuja kuyakutia kwa watu pori ticha mmoja mpwayungu sorry bhana, kuna ticha alishawahi kulazwa kwenye jalala.Kwann ukubali kurogwa kizembe na wewe
Sababu haijui michezo yao.ukishaijua michezo Yao mbona hao ni wapumbavu tu lazima watoke ndukiMkuu kwa sisi tuliokuwa mjini haya mambo tumekuja kuyakutia kwa watu pori ticha mmoja mpwayungu sorry bhana, kuna ticha alishawahi kulazwa kwenye jalala.
Kuna vijiji huwezi kulima wala kufuga havina tofauti na jangwa, zao linalostawi kama huku nilipo ni tende, na tende kuja kuuza mpaka msimu wa mfungo wa ramadhani.Maisha ni popote msitutishe wakuu !! 😀😀 wote tukikaa town watanzania wenzetu nani atawahudumia ? Nikitoka kazini naenda kulangua maharage kwa wadau tupo msimu wa mavuno !! Wengine wanaleta nyumbani hapo hapo ! Kikubwa mtaji uwepo !! Wewe tu sometime unashuka town unachukua visimu vya tochi i mnabadilishana na maharage kwa ndoo moja sometime mbili 😂😂 kwa sababu wao access ya kufika mjini sio rahisi barter trade haijaisha kabisa ! Maharage kwa sasa ni cheap kwa hiyo ni kuyahifadhi mpaka muda utakopoona bei imesogea !
Kwanini napapenda kijijini
Uwezo mkubwa wa kumiliki ardhi pia hata ukijenga hakuna kujibanabana 20x20 huku kwetu hamna ! (Simaanishi mjini Dar haiwezekani ila kwa maisha ya utumishi mtakua mashaidi wanaokula parefu wapo hongereni ila majority tunavimbiana tu kumiliki ardhi kidogo kubwa kubwa sio rahisi )
Pia ninapenda kilimo sana na ufugaji kwa hiyo kwangu naona sikukosea ! Na mpaka nilipofikia ni kilimo kazi ilinipatia mtaji wa kuanzia !!
Changamoto: Ukiwa na mzigo mkubwa wa bidhaa huwa inakua changamoto kutoa mzigo siku za nyuma ilikua inabidi ukiwa na maharage mpaka kuyafikisha mnadani ukakodi punda 😂😂sasa sikilizia kipengele cha kubembelezana na Punda mwendo wa masaa manne hadi sita !! Punda hata 60 ni kama uko machungani sasa Ila siku hizi mambo yamebadilika watu wamenunua trekta na si mnajua tabia za vijijini mtu akianzisha kitu watu wanaiga kwa hiyo wadosi walinunua imekua biashara sasa !! Kwa tuliosoma kidogo tumechangamka akili hatuuzi tena mnadani tunaenda tu kulangua na kupeleka sehemu kuuza kwa uzani!!
Shida kubwa ya watu wa kijijini hawatembei kujionea wengine wanafanya nini !
Vijana tusifungwe maana JF ina ushawishi sana mtu anaweza kusoma hapa akajikuta anaishi maisha ya nadharia jisikilizie unataka nini !! Madogo wataacha kazi na hivyo sera ni kutupwa kijijini
Home is not a place , it's a feeling !!
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Hiyo kweli mkuu, vijiji havifanani maana kuna vijiji havina huduma nzuri za Serikali lakini unaweza ukazichanga karata!! Vijiji vya aina hii Dodoma itakuwa inaongoza!!!Kuna vijiji huwezi kulima wala kufuga havina tofauti na jangwa, zao linalostawi kama huku nilipo ni tende, na tende kuja kuuza mpaka msimu wa mfungo wa ramadhani.
Tena ukiwa tofauti nao kimtazamo na wakiona una akili za maendeleo, hapo kila rangi hutoacha kuiona.Sababu haijui michezo yao.ukishaijua michezo Yao mbona hao ni wapumbavu tu lazima watoke nduki
Kuna jamaa kapangiwa kakuta zahanati ipo kwenye lenta hakuna maji hakuna umeme.Zahanati, zahanati ya kijiji eeee? Yale maigizo yamekaa kihuzuni sana na kale kawimbo. Ukiwa mtu wa kupenda comfort zone utateseka sana
Inabidi uchill mwisho wa mwezi si anaingiziwa marundo?Kuna jamaa kapangiwa kakita zahanati ipo kwenye lenta hakuna maji hakuna umeme.
Hata vya Kilimajaro, Lindi, Mtwara, Singida, Manyara, Arusha n.kHiyo kweli mkuu , vijiji havifanani maana kuna vijiji havina huduma nzuri za serikali lakini unaweza ukazichanga karata !! Vijiji vya aina hii Dodoma itakua inaongoza !!!
Usiwe mjinga na wewe japo najua yule mkuu wa uchawi vijijini Wana kawaida ya kufunga maendeleo ya eneo Fulani hasa walipo wenyeji watupu lakin unaweza ukawashinda piaTena ukiwa tofauti nao kimtazamo na wakiona una akili za maendeleo, hapo kila rangi hutoacha kuiona.