Kupanua tax base-makanisa, ministries, misikiti vihusike kulipa kodi

Kupanua tax base-makanisa, ministries, misikiti vihusike kulipa kodi

Kwamba mnataka ZAKA au fungu la kumi litozwe Kodi?

Ndipo mtajua kati ya Mungu na sirikali ya WANADAMU ipi yenye nguvu zaidi!!

Yesu alikwisha weka mstari kuwa, Vya kaisari mpeni kaisari, ya Mungu mpeni Mungu"
 
Hata hizo taasisi zikilipa bado zitaishia mikononi mwa wachache kama huna nidhamu kwenye kidogo hata kikubwa kitakushinda tu kwanini 4% ya bajeti inatengwa kwenye anasa (sherehe, vitafunwa, samani za wakubwa, safari nk) huoni ni uzwazwa zaidi ya 600B zinatengwa kwenda kununua magari ya kifahari ya mwaka 2024 kama haitoshi wake za wastaafu wanalipwa nao kiinua mgongo ajabu kabisa.
kuwe na nidhamu kwenye matumizi upo sahihi sana
 
Back
Top Bottom