Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mlongo wangu sasa naona unataka picha za vitabu. hizo nyingine kakusanyaje wakati alikuwa hata jf hawezi kufungua?gud!nahamia photo sasa hivi!utakuwa umetukusanyia mengi huko!
Haya waiting.......................
Mkuu umeongea point ya maana sana...hii inatokana na wao kudharau tamaduni za wengine....
Mhhhhhh hapo shughuli ipo.
kamwali we boflo ana vituko anaweza kutumitumia vitabu hivo hivo humu na bado vikatuvunja mbavu!mlongo wangu sasa naona unataka picha za vitabu. hizo nyingine kakusanyaje wakati alikuwa hata jf hawezi kufungua?
Kitako cha athlete au mjeshi kinakuwa kigumu kuna raha yake i guess unapokipiga unless mwanaume anapokuwa na **** mdebwedo afu unamtiatia vikofi vya uchokozi lazima atakuwa offended