Kupasuka kwa salama kondomu

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!

Mdau
 
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!

Mdau
Mkuu Pandamlima si salama condom tu japo huwa ni bomu lingine bali pia hata zile nilizoziamini kama Rough Rider nazo si imara kama awali. Ninaomba kwa kutumia udhaifu huu wa salama basi members wote tonei propasal ya kondomu ambazo angalao ni salama. Mini naanza na Durex, wewe unafahamu ipi?? Tusaidiane maana hizi za design ya Salama ni kiama, ni kifo mkononi. Please do the needful.

cc: Tuko
 
Mh! ngoja waje, kumbe ndio zilivyo!!!!
 
unapiga game kama la punda unategemea hiyo ni chuma kwikwikwikwiwkw i au ulikuwa na ukameeeeeeeeee??????????
 
wee ukiamua kigegeda umekubaliana na yote wala usijipe presha ya sijui condom kupasuka...hutaki ngoma piga puchu
 
unapiga game kama la punda unategemea hiyo ni chuma kwikwikwikwiwkw i au ulikuwa na ukameeeeeeeeee??????????

Aisee Nivea nakataa jamama hakuwa na ukame, ni kwamba salama ni bomu lingine!!! Nina wasiwasi kuna fake na zile zenyewe!! Kwani wachina wanashindwa kitu? Na hivi Tanzania hakuna control na ufuatiliaji wa karibu. Cha msingi kama mtu una uwezo go for strong latex condoms, ni zipi hizo tupeane majina ili wale wenye uwezo wakazinunue. Mimi nimeanza na durex
 
Jamani hii ni hoja ya msingi, toani maoni bora ili hawa tacaids na tbs wasikie na wadhiti ubora wa bidhaa hizi
 
tumieni care
 
Mbona wewe unajiondoa kwani wewe sio mmoja wao

Nilitegemea useme tutumie care, meaning that wew nae umo.
sijawahi tumia toka nizaliwe ,ndio sababu nkajimilikisha mapema ili nile kavukavu lol
 
Life guard ndo ngumu ila hazpatkan,SALAMA UKIITUMIA UTAKUTA IMETANUKA KAMA CHANDARUA SIYO SALAMA!
 
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!

Mdau
Pole mdau.

Mwanaume wa kweli hutumia Dume!
 
Kwani kuna tatizo lolote pindi ipasukapo?
 
mtakua mnatumia kwenye ile njia ya mtandao.......under normal circumstance hizi condom ni ngumu sana kupasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…