Pandamlima
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 143
- 13
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!
Mdau
Mdau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pandamlima si salama condom tu japo huwa ni bomu lingine bali pia hata zile nilizoziamini kama Rough Rider nazo si imara kama awali. Ninaomba kwa kutumia udhaifu huu wa salama basi members wote tonei propasal ya kondomu ambazo angalao ni salama. Mini naanza na Durex, wewe unafahamu ipi?? Tusaidiane maana hizi za design ya Salama ni kiama, ni kifo mkononi. Please do the needful.Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!
Mdau
unapiga game kama la punda unategemea hiyo ni chuma kwikwikwikwiwkw i au ulikuwa na ukameeeeeeeeee??????????
tumieni careaisee nivea nakataa jamama hakuwa na ukame, ni kwamba salama ni bomu lingine!!! Nina wasiwasi kuna fake na zile zenyewe!! Kwani wachina wanashindwa kitu? Na hivi tanzania hakuna control na ufuatiliaji wa karibu. Cha msingi kama mtu una uwezo go for strong latex condoms, ni zipi hizo tupeane majina ili wale wenye uwezo wakazinunue. Mimi nimeanza na durex
tumieni care
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!
Mdau
tumieni care
sijawahi tumia toka nizaliwe ,ndio sababu nkajimilikisha mapema ili nile kavukavu lolMbona wewe unajiondoa kwani wewe sio mmoja wao
Nilitegemea useme tutumie care, meaning that wew nae umo.
sijawahi tumia toka nizaliwe ,ndio sababu nkajimilikisha mapema ili nile kavukavu lol
akili kukichwa ukilega umeliwa,siishi na mleviLakini hata waliojimilikisha mara nyingine hulazimika kutumia.
Pole mdau.Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!
Mdau