Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Kupata hati safi kwa 99% baada y ukaguzi wa matumizi ya fedha za waTanzania kwenye mashirika, idara na taasisi za umma, ni kielelezo tosha muhimu sana cha uwazi, uwajibikaji, utawala bora na utawala wa sheria kinacho dhihirishwa bayana na nia na dhamira njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuongoza nchi, kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwatumikia waTanzania kwa uaminifu mkubwa.
Kasoro, dosari na changamoto chache za mwaka wa fedha zilizoibuliwa na mkaguzi mkuu zimepungua kwa kiasi kikubwa sana, huku zilizoibuliwa sasa zitachukuliwa kama fursa ya kujirekebisha na kufanya vizuri zaidi siku zijazo.
Kusema ukweli,
Report hii ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali imesafisha njia kwa Dr.Samia Suluhu Hassan kuchaguliwa tena kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu wa Oct mwaka huu 2025, kwasabb imefanya aaminike zaidi, akubalike zaidi na apendwe zaidi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania