Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Habari Guys

Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako.

Kuna option mbili

Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili tofauti, Maana yake mtu hatoweza kuwasha au kuondoka na hilo gari unless awe ameregister vidole vyake. (400k fixed kwa kila moja).

Au nikamuuzia mmoja nikamfungia kwenye gari moja, Kit moja ikawa special kwa ajili access ya lock na kuunlock milango na nyingine ikawa special kwa ajili ya access ya kuwasha/kuondoka na gari. Hapa utaachana kabisa na habari za funguo. (1m kwa zote mbili)

Unaweza kudisable huo mfumo muda wowote in case kama gari unaliacha garage n.k.

Utapewa remote control kwa ajili ya hizo kits. Kurejista vidole na kazi nyingine. Unaweza kurejister mpaka 300 fingerprints.

Video

Kesho nitarecord demo nitaupload hapa video.
ni technolojia nzuri,ingawa wanaofundisha kutemper ni haohao waliozianzisha,binadam ana shida sana...
 
Nimeiona tayar ipo fresh sana, Ila wasiwasi wangu ukitaka ile kuwasha gar kwa fasta na unakuta vidole vina kipengele, labda ulikuwa unakula ama imechafuka tu, kutakuwa na option nyengne?

Uchafu siyo shida.

Vidole havitakiwi tu kuwa na maji, Na hii ipo kwenye aina yoyote ya fingerprint.
 
Nimeiona tayar ipo fresh sana, Ila wasiwasi wangu ukitaka ile kuwasha gar kwa fasta na unakuta vidole vina kipengele, labda ulikuwa unakula ama imechafuka tu, kutakuwa na option nyengne?

Uchafu siyo shida.

Vidole havitakiwi tu kuwa na maji, Na hii ipo kwenye aina yoyote ya fingerprint

Option nyingine labda ni kuhide switch ambayo itafanya kazi parallel na hiyo fingerprint. Kwa maana switch ikiwa On gari itawaka kwa funguo switch ikiwa off gari itawaka kwa fingerprint.
 
Ningependa kuona pia hiyo ya milango inafanya kaz vipi kwenye kuweka na kutoa lock, na je kama mtu akiweka zote mbili ya kuwasha na kufungua milango atapata na remote control kwa ajili ya kufungulia mlango interm of emergency yaan ile gar umeliacha car wash iwasaidie kwenye kufunga na kungua tu milango
 
Hamna remote control kwa ajili ya kufungulia milango,

Kuhusu kufungua milango anaweza kutumia funguo yake iliyopo au remote yake, Hakuna tatizo lolote.
 
Ningependa kuona pia hiyo ya milango inafanya kaz vipi kwenye kuweka na kutoa lock, na je kama mtu akiweka zote mbili ya kuwasha na kufungua milango atapata na remote control kwa ajili ya kufungulia mlango interm of emergency yaan ile gar umeliacha car wash iwasaidie kwenye kufunga na kungua tu milango

Pia kwenye kufungua milango sijarecord video.... Nikitulia nitarecord.

So far nilileta tu hizo kits mbili kama sample. Ila zinawork poa.
 
Back
Top Bottom