Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

Tracking device ndo mwisho wa matatizo. Una track hata ikitokea umeporwa gari
hizi nzuri sana hasa ukikuta haitegemei umeme wa moja kwa moja kutoka kwenye battery.. kwamba hata uki disconnect kama hamjakatoa kenyewe mtashikwa tu, zile point zinakupeleka hadi 0 meter gari ilipo πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…