Kaishakaiaja
New Member
- Jul 15, 2021
- 1
- 2
Napenda kuuliza kupata ajira ni huruma au haki?
Limenitokea leo kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini
Nikasema isiwe kesi, ngoja nimpandie mwajiri wake niombe hiyo kazi
Kumbe alikuwa hajampa taarifa bosi wake Kama kaajiriwa, bosi kamtafuta na kumuuliza ,si ndo aakaambiwa Mimi nimeomba kazi tayari kwa kuwa yeye anaondoka
Huyo mtu kanimind mbaya aisee
Mpaka nimeuliza kazi ni haki au huruma?