Kaishakaiaja
New Member
- Jul 15, 2021
- 1
- 2
Aiseeee....Kupata kazi ni connection...
Sikuhizi hakuna huruma wala haki...
Wenyewe wanasema "mbuzi kala koti" [emoji1787]Kupata kazi ni connection...
Sikuhizi hakuna huruma wala haki...
Dah, mpaka nimefedheheka sanaAchana nae huyo, alitaka hyo nafasi akae bibi ake
Sawa, nimekosea lakini yeye sio mwajiriMbona kamind hivo au alitaka afanye fraud ndo aondoke..au alitaka aondoke kafanya matashtiti kwa boss ...lkn hata hivo na ww ungemuuliza kama kamwambia boss otherwise alikuona kama snich alitaka awasuprise kuwa anaondoka ushaharibu😆😆
Umemuharibia ulipaswa uongee nae kwanza akupe Ramani zake, ulichofanya ni kama kupeleka umbea kwa boss kwamba fulani kapata kazi.Napenda kuuliza,kupata ajira ni huruma au haki?
Limenitokea leo,kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini...
Sasa hapo nimekuelewaUmemuharibia ulipaswa uongee nae kwanza akupe Ramani zake, ulichofanya ni kama kupeleka umbea kwa boss kwamba fulani kapata kazi....
Usela umekujaa hiyo kazi hupatiNapenda kuuliza kupata ajira ni huruma au haki?
Limenitokea leo kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini...
Umepata mfadhaiko?😋Dah, mpaka nimefedheheka sana
Sio mbaya, wakati wa Bwana utakuwa badoUsela umekujaa hiyo kazi hupati
Mnh....we mtata,Wallah?Nawe nakuuliza, kazi unaomba au unadai? Kama unaomba basi ni huruma tu, kama unaidai basi ni haki.
HahahahahahahahaNawe nakuuliza, kazi unaomba au unadai? Kama unaomba basi ni huruma tu, kama unaidai basi ni haki.