Kupata choo Mara kwa mara

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Wadau hivi mtu anapaswa kupata choo Mara ngapi kwa siku? Maana mid kwa siku najisaidia Mara 2 mpaka 3 nashangaa watu wengine wanasema eti naptia siku mbili hawajapata choo. Je naweza kuwa na matatizo
 
hio ni kawaida kujisaidia mara 2-3 kwa siku hao zinazopita mpaka siku 2 hawajapata choo wanatatizwa na constipation!
 
hio ni kawaida kujisaidia mara 2-3 kwa siku hao zinazopita mpaka siku 2 hawajapata choo wanatatizwa na constipation!

Ooh thanks nilijua Mimi ndio natatizo
 
Hongera natamani ningekuwa miye napata choo hivo maana ni utata
 
mara 3 ? Yaani asubuhi , mchana, na jioni? Hiyo nayo ni tooo much. Kunywa dawa ya minyoo.
 
hio ni kawaida kujisaidia mara 2-3 kwa siku hao zinazopita mpaka siku 2 hawajapata choo wanatatizwa na constipation!

Ndio nini hiko?
...
Na jee wale wanaokwenda haja mara kwa mara? ie mara 4 to 6!
 
Ndio nini hiko?
...
Na jee wale wanaokwenda haja mara kwa mara? ie mara 4 to 6!
constipation ni choo kinapokuwa kigumu na hali hio husababisha kutokupata hajakubwa ipasavyo yaani kila siku.Inasababishwa na kutokula matunda,mboga mboga na vyakula vyenye fiber pamoja na kutokunywa maji ya kutosha!
 
Asikudanganye m2 choo kwa cku ni mara moja tuu kwa mtu ambaye ypo normal so zaidi ya hapo au chini ya hapo wote mnamatatzo yanaweza ktofautiana klingana lyfstyle ya m2 onana nasi au dactar yyte kwa shaur zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…