Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio ni kawaida kujisaidia mara 2-3 kwa siku hao zinazopita mpaka siku 2 hawajapata choo wanatatizwa na constipation!
constipation ni choo kinapokuwa kigumu na hali hio husababisha kutokupata hajakubwa ipasavyo yaani kila siku.Inasababishwa na kutokula matunda,mboga mboga na vyakula vyenye fiber pamoja na kutokunywa maji ya kutosha!Ndio nini hiko?
...
Na jee wale wanaokwenda haja mara kwa mara? ie mara 4 to 6!