hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaawewe na ujanja wako naona followers 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaawewe na ujanja wako naona followers 0
mwambie aweke avatar kama yako kisha awe ana post za umbea umbea tu ..atapata followers mpka pm kwakeWewe jiite tu jina la kike anzisha thread kali kali mbona watakufata wenyewe mjini akili na mipangooo upo hapoooo
yaan ww kama mimi.Mimi sikuja jf kutafuta followers kama wewe
Weka picha yako watakufollow mkuuIvi wakuu ili kupata followers wengi humu JF unafanyaje?
[emoji3][emoji3][emoji3] demiss nitakuchapa kwahiyo akane jinsia yakeWewe jiite tu jina la kike anzisha thread kali kali mbona watakufata wenyewe mjini akili na mipangooo upo hapoooo
Anajua jf kama instagramHivi unapojiunga kwenye mtandao wa kijamii huwa unajua nia ya huo mtandao au mradi watu wapo na wewe uingie!!?..
Kabisaaa asifie na tumbua lake kwisha habarmwambie aweke avatar kama yako kisha awe ana post za umbea umbea tu ..atapata followers mpka pm kwake
Kama sio kuisha!Wanaume wanazidi kupungua
Naona hapa jinsia ya kike tunapendeka sanaaa[emoji3][emoji3][emoji3] demiss nitakuchapa kwahiyo akane jinsia yake
hahaaaa ..Kabisaaa asifie na tumbua lake kwisha habar
hawa ndio unawakuta wamejaa badoo!!..Anajua jf kama instagram
مربى الأبطال؛ لتقوية الفحولة والجسم،Mpaka hapa tu followers huwezi wapata koz hawaji kwa kutafutwa watakufollow wenyewe kwa michango na hoja zako kwenye thread.