Kupata ganzi usoni

MassaweJ

Member
Joined
May 15, 2019
Posts
7
Reaction score
7
Habarini wana JF, ningeomba kupata msaada juu ya hili. Nlkua nikicheza mpira siku sio nyingi sasa kwa bahati mbaya nilipigwa kichwa kwenye pua pembeni ya jicho upande wa kulia sikuhisi mauvivu sana japo nilivimba kias na nikitafunia chakula upande wa kulia nahisi maumivu kias hapa juu kwenye mfupa wa pua. Baada ya kama siku mbili nahisi kama ganzi kwenye pua ya kulia na shavu la upande wa kulia mpaka karibia na lips upande wa kulia. Binafsi nimefikiri ni kutokana na kuvimba, je should I be worried kwamba inaweza kua tatizo kubwa niende hospitali!?? Thanks in advance
 
Una muda gan??....


Nenda hosp umuone Neurologist ..ukichukulia poa inaweza kuja kua tatizo la kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…