MassaweJ
Member
- May 15, 2019
- 7
- 7
Habarini wana JF, ningeomba kupata msaada juu ya hili. Nlkua nikicheza mpira siku sio nyingi sasa kwa bahati mbaya nilipigwa kichwa kwenye pua pembeni ya jicho upande wa kulia sikuhisi mauvivu sana japo nilivimba kias na nikitafunia chakula upande wa kulia nahisi maumivu kias hapa juu kwenye mfupa wa pua. Baada ya kama siku mbili nahisi kama ganzi kwenye pua ya kulia na shavu la upande wa kulia mpaka karibia na lips upande wa kulia. Binafsi nimefikiri ni kutokana na kuvimba, je should I be worried kwamba inaweza kua tatizo kubwa niende hospitali!?? Thanks in advance