Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Umeshawahi kuomba hiyo kazi yenye mshahara mnono
Niko kazini japo ninajiendeleza sana kazi nimefanya miaka 7 sio nataka mabadiliko ya haraka mimi nimvumilivu sana sema nataka changamoto sehemu nyingine nzuriiHueleweki ,,,, unataka mshahara mnono ? Una kaz mshahara wa kawaida ? Ama ni jobless umeambiwa uende Veta ! Jiweke sehemu moja ili tukushauri vyema ! Vijana mnataka mabadiliko ya haraka haraka, ukianza kazi Leo kesho uwe promoted!
Veta ninakubali kabisa ila broo ajira kwangu sio tatizo wala sipendi mambo marahisi nimekaa kazini miaka 7 na zaidi ila sema nimeulizia sehemu nzuri kama zenye posho na promotion nzuriKujituma kazini inategemea na work ethic yako. Kizazi chenu hiki kipya hiki ni legelege ajabu. Hata kipewe mshahara mnono ni madoido tu na kuiba. Ndiyo maana watu makini wanaogopa sana kuweka Mbongo kwenye vyeo vya juu katika makampuni yao. Wanapendelea Wahindi na hata Wakenya. Kidogo wana integrity na work ethic nzuri.
Wabunge wana mishahara minono na package nzuri sana, unaona kama wanajituma?
Kupata kazi zenye mishahara minono unahitaji bahati, experience yako na sana sana connection.
Kuhusu Veta Blessings kasema anapeleka boom. Utakwenda? 😂
View attachment 3277650
Surely, Wabongo walio wengi ni waangushiaji...maneno mengiiiii...kazi kiduchu! Hii ni indicator ya umaskiniKujituma kazini inategemea na work ethic yako. Kizazi chenu hiki kipya hiki ni legelege ajabu. Hata kipewe mshahara mnono ni madoido tu na kuiba. Ndiyo maana watu makini wanaogopa sana kuweka Mbongo kwenye vyeo vya juu katika makampuni yao. Wanapendelea Wahindi na hata Wakenya. Kidogo wana integrity na work ethic nzuri.
Wabunge wana mishahara minono na package nzuri sana, unaona kama wanajituma?
Kupata kazi zenye mishahara minono unahitaji bahati, experience yako na sana sana connection.
Kuhusu Veta Blessings kasema anapeleka boom. Utakwenda? 😂
View attachment 3277650
Creativity is most important thing in your work!Veta ninakubali kabisa ila broo ajira kwangu sio tatizo wala sipendi mambo marahisi nimekaa kazini miaka 7 na zaidi ila sema nimeulizia sehemu nzuri kama zenye posho na promotion nzuri