Kupata kwa mwezi kesho Jumapili Tanzania.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza.

Total lunar eclipse.
Now talking about eclipses,I noticed last time there was a total solar eclipse in the world ndipo pale bandari ya Dar ikachukuliwa na DP World.

Huyu njiwaji apparently ni member hapa JF.
 
Asante kwa Taarifa, ila ingependeza zaidi kama ungetuambia pia na athari zake (-ve au +ve) kama zipo au ni Taarifa tu just for funny.
 
Back
Top Bottom