Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Asante kwa Taarifa, ila ingependeza zaidi kama ungetuambia pia na athari zake (-ve au +ve) kama zipo au ni Taarifa tu just for funny.Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza.
Total lunar eclipse.
Now talking about eclipses,I noticed last time there was a total solar eclipse in the world ndipo pale bandari ya Dar ikachukuliwa na DP World.
Huyu njiwaji apparently ni member hapa JF.