Nimefanya utafiti mdogo Tanzania haswa mikoa ya kusini na kati nimegundua makampuni mengi yanayotoa mikopo kwa wafanya biashara ndogo ndogo ni ya kutoka nje na yanawabana kwa riba kubwa..
Ninafikiria kuanzisha microfinance kama ya PRIDE na FINCA.. Ninaomba kama kuna mtu yeyote anayejua mchakato wa kupata leseni anisaidie kunipa maelekezo.. Mchakato wa kampuni nimeshamaliza. Tatizo lilobaki ni leseni. Nimejaribu kutafuta website ya viwanda na biashara naona haipo hewani..
ASANTENI