Kupata mabilioni ukafanyie biashara sio lazima uwe na dhamana, ji brand tu

MANAGER DOCTOR WENGER

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2026
Posts
202
Reaction score
304
Nimeona Uzi wa jamaa humu, kaenda kukopa b 3 ilihali yeye ni mlala hoi tu.

Sio kesi ila, nimeshangaa watu kumpuzia na kumdharau, sio sawa, mtoto wa mjini kukopa pesa huitaji kiwanja wala mali yoyote, unacho hitaji ni kujibrand tu bhaaaaassssshhhh.

Yule zungu, wa kipaza sauti, alienda Oman akapewa milioni 70 na mtu, bila dhamana, aje afanyie biashara yake ya perfume, tena ilikua ni startup, japo ili fail, sina hakika kama bado ipo, ila alipewa bila dhamana yoyote.

Lugumi alipewa bilioni 30 na marehemu manji bila dhamana yoyote, unashangaa Leo bilioni tatu?

Kuna Maza namfaham, kanda ya ziwa mji wa dhahabu, alikua anakopeshwa mamilioni ya pesa, bila kuwa na mali yenye thamani ya kurizisha mpaka akawa anashindwa kurejesha, nyie mnashanga bilioni tatu? Pesa ndogo hio unapewa labda mleta mada naye alikurupuka tu.
 
Wew umepewa bilion ngapi na nani?
 
Daah story za mtaani hizi Lugumi alipewa 30b bila dhamana yeyote na Manji mnatufunga kamba ninyi wadau kama ni rahisi kwa nini asiende Bank kukopa hela apewe anazohitaji kiujanja ujanja..
 
Power of mind
Power to create
Mind set can break natural rules
 
Back
Top Bottom