Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Nilikua na hamu sana kukuona na kusikia unaitwa mheshimiwa. Nilikupigia kura moyoni mwangu, bahati mbaya haikuonekans na kijimlishwa na yule mmoja aliyekuwa ukumbini.
 
🤔🤔🤔
"Ikulu yenu"!! Na akinanani?
Wewe unafanya kazi gani hapo ikulu
 
🤔🤔🤔
"Ikulu yenu"!! Na akinanani?
Wewe unafanya kazi gani hapo ikulu
Elimu ya uraia, bado inahitajika sana kwa Watanzania !. Kuna watu hawajui Ikulu ni ya nani?. Ikulu ni mali ya Watanzania, wewe ukiwemo. Yule anayekaa ikulu yetu ni mpangaji wetu, tumempangisha kwa mkataba wa miaka mitano mitano. Ni sisi tumemuajiri kwa kura zetu na kumlipa mshahara kwa kodi zetu.
Tanzania ni mali yetu sisi, "we the people".
P
 
tuliongea huko nyuma kuwa kwa maneno yako MEKO hatokuteuwa na mwishoe akakuita MAYALLA kikwenu ni NJAA.
hivyo ukiendeleza hizi shwain zako na kwahuyu MAMA pia utapitiliza tu anakuona afu hakuoni. kama bado unatamaa kuteuliwa badili hii style yako nilishakuelezaga
 
Gwajima ndiye anayesema ukweli, Bibi maushungi na Dada mwenye shanga shingoni wanapotosha
 
Japo mawazo yako ni mazuri, ila unachozunguza hapa ni utopian politics kwa wishes, wishful thinking and day dreams.

Mimi nazungumzia real politics ya siasa za ukweli zilizopo na kinachofanyika. Siasa ni sayansi, inafuata scientific process za political science, kwa Tanzania hapo tulipo, tuna chama kimoja tuu cha siasa chenye uwezo wa kutawala nchi, chama hiki ni one and only CCM!, hakuna chama mbadala cha kuireplace CCM!. Hili la kufanya mapinduzi, ndicho Dr. Bashiru alichowashauri wakulima, Watanzania sio watu wa hivyo!. Hivyo CCM itaendelea kuwepo na kuendelea kutawala for a long long time to come mpaka atokee mbadala!.

Ukweli ni huu Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
JE SIFA YA KUZUNGUMZA UKWELI ALIKUWA NAYO? / AU ALIKUWA ANATUSHIKIA AKILI KWA UMBUMBUMBU WETU? /
 
Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
 
Sasa CCM kujiwekea mizizi nalo ni suala la kujiuliza kweli? , CCM kutawala milele mbona inajulikana upinzani wenye uelekeo nchi hii ulikua wa Mrema tu wengine wote wataambulia viti vya udiwani na ubunge basi tena kwa uchache
 
Pascal Mayalla , Mkuu Mimi nafsi yangu naona Wewe ulipata heshima kubwa mno kabla kwenda kujaribu kalata yako kwenye lichama chakavu ambalo limedhulumu wa TZ zaidi ya 60...&
Karibu mitaa hii, hili unaloita lichama chakavu linaendelea kutawala Tanzania milele na milele!.
P
 
Karibu mitaa hii, hili unaloita lichama chakavu linaendelea kutawala Tanzania milele na milele!.
P
linaendelea kutala hilo sikatae pia nawewe kubali hilo lichama linawamwaga wasakatonge na wamapimbio kama wewe mkuu .. Pascal Mayalla ushahidi Kule Kawe na yote ile mikeka nani kama mama ameishusha ila jina linalo fanana na lako hakuna .
 
Tatizo Kuna (Ashakhum si matusi) mabwege fulani hivi wanataka kuonesha CCM imetoka mbinguni na imeumbwa ili iwatawale watanzania.
CCM imeumbwa kutawala Tanzania milele!。
P
 
CCM imeumbwa kutawala Tanzania milele!。
P
Kwavile tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…