Hili swala limekaa kikiritimba mno, linatakiwa lifutwe, kwanza uhai matibabau, mengine baadae, maana lazima taarifa zako zitachukuliwa tu, hasa kwenye madhara kama ya risasi, mapanga, ajali n.k.
Bado tunaishi kama tuko miaka ya sabini, kwani vigogo au wenye vyeo huwa wanaulizwa pia PF3?
Kazi tunayo...Tuko nyuma mno, watu wanapoteza maisha bila ya sababu kwa kusubiria PF3 au kwenda polisi kwanza..
Ila wakubwa watatusikia?!